Native Bible

Exodus 31:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

pamoja na mavazi matakatifu yaliyofumwa ya kuhani Aroni, na mavazi kwa ajili ya wanawe wakati wanahudumu katika kazi ya ukuhani,

Exodus 31:10 in English

Exodus 31:10 · Berean Standard Bible

as well as the woven garments, both the holy garments for Aaron the priest and the garments for his sons to serve as priests,

Context

8meza na vifaa vyake, kinara cha taa cha dhahabu safi na vifaa vyake vyote, madhabahu ya kufukizia uvumba, 9madhabahu ya sadaka ya kuteketezwa na vyombo vyake vyote, sinia na kinara chake, 10pamoja na mavazi matakatifu yaliyofumwa ya kuhani Aroni, na mavazi kwa ajili ya wanawe wakati wanahudumu katika kazi ya ukuhani, 11pia mafuta ya upako na uvumba wenye harufu nzuri kwa ajili ya Mahali Patakatifu. Watavitengeneza sawasawa kama vile nilivyokuagiza wewe.” 12Kisha Bwana akamwambia Mose,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.