Native Bible

Exodus 31:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hema la Kukutania, Sanduku la Ushuhuda pamoja na kiti cha rehema juu yake, pia na vifaa vyote vya kwenye hema,

Exodus 31:7 in English

Exodus 31:7 · Berean Standard Bible

the Tent of Meeting, the ark of the Testimony * and the mercy seat upon it, and all the other furnishings of the tent—

Context

5kuchonga vito na kuvitia mahali, kufanya ufundi kwa mbao, na kujishughulisha na aina zote za ufundi. 6Tena nimemteua Oholiabu mwana wa Ahisamaki, wa kabila la Dani, ili kumsaidia. Pia mafundi wote nimewapa ustadi wa kutengeneza kila kitu nilichokuamuru wewe: 7Hema la Kukutania, Sanduku la Ushuhuda pamoja na kiti cha rehema juu yake, pia na vifaa vyote vya kwenye hema, 8meza na vifaa vyake, kinara cha taa cha dhahabu safi na vifaa vyake vyote, madhabahu ya kufukizia uvumba, 9madhabahu ya sadaka ya kuteketezwa na vyombo vyake vyote, sinia na kinara chake,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.