Kutoka 30:3
Exodus 30:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Funika hayo madhabahu juu na pande zote na pia pembe zake kwa dhahabu safi, na uifanyizie ukingo wa dhahabu kuizunguka.
Exodus 30:3 in English
Exodus 30:3 · Berean Standard Bible
Overlay with pure gold the top and all the sides and horns, and make a molding of gold around it.
Context
1“Tengeneza madhabahu kwa mbao za mshita kwa ajili ya kufukizia uvumba. 2Madhabahu hayo yawe mraba, urefu na upana wake dhiraa moja,* na kimo cha dhiraa mbili,* nazo pembe zake zitakuwa kitu kimoja nayo. 3Funika hayo madhabahu juu na pande zote na pia pembe zake kwa dhahabu safi, na uifanyizie ukingo wa dhahabu kuizunguka. 4Tengeneza pete mbili za dhahabu kwa ajili ya madhabahu chini ya huo ukingo, ziwe mbili kila upande, za kushikilia hiyo mipiko itumikayo kuibebea madhabahu. 5Tengeneza mipiko kwa miti ya mshita na uifunike kwa dhahabu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.