Native Bible

Exodus 30:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Tengeneza mipiko kwa miti ya mshita na uifunike kwa dhahabu.

Exodus 30:5 in English

Exodus 30:5 · Berean Standard Bible

Make the poles of acacia wood and overlay them with gold.

Context

3Funika hayo madhabahu juu na pande zote na pia pembe zake kwa dhahabu safi, na uifanyizie ukingo wa dhahabu kuizunguka. 4Tengeneza pete mbili za dhahabu kwa ajili ya madhabahu chini ya huo ukingo, ziwe mbili kila upande, za kushikilia hiyo mipiko itumikayo kuibebea madhabahu. 5Tengeneza mipiko kwa miti ya mshita na uifunike kwa dhahabu. 6Weka hayo madhabahu mbele ya lile pazia lililo mbele ya Sanduku la Ushuhuda, lililo mbele ya kiti cha rehema kilicho juu ya Sanduku la Ushuhuda, mahali ambapo nitakutana nawe. 7“Itampasa Aroni kufukiza uvumba wenye harufu nzuri juu ya madhabahu kila siku asubuhi wakati anapowasha zile taa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.