Kutoka 30:1
Exodus 30:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Tengeneza madhabahu kwa mbao za mshita kwa ajili ya kufukizia uvumba.
Exodus 30:1 in English
Exodus 30:1 · Berean Standard Bible
“You are also to make an altar of acacia wood for the burning of incense.
Context
1“Tengeneza madhabahu kwa mbao za mshita kwa ajili ya kufukizia uvumba. 2Madhabahu hayo yawe mraba, urefu na upana wake dhiraa moja,* na kimo cha dhiraa mbili,* nazo pembe zake zitakuwa kitu kimoja nayo. 3Funika hayo madhabahu juu na pande zote na pia pembe zake kwa dhahabu safi, na uifanyizie ukingo wa dhahabu kuizunguka.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.