Kutoka 29:8
Exodus 29:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Walete wanawe na uwavike makoti,
Exodus 29:8 in English
Exodus 29:8 · Berean Standard Bible
Present his sons as well and clothe them with tunics.
Context
6Weka kilemba kichwani mwake na kuweka taji takatifu ishikamane na hicho kilemba. 7Chukua yale mafuta ya upako umimine juu ya kichwa chake. 8Walete wanawe na uwavike makoti, 9pia uwavike zile tepe za kichwani. Ndipo uwafunge Aroni na wanawe mishipi. Ukuhani ni wao kwa agizo la kudumu. Kwa njia hii utamweka wakfu Aroni na wanawe. 10“Mlete yule fahali mbele ya Hema la Kukutania, naye Aroni na wanawe wataweka mikono yao juu ya kichwa chake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.