Native Bible

Exodus 29:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Weka kilemba kichwani mwake na kuweka taji takatifu ishikamane na hicho kilemba.

Exodus 29:6 in English

Exodus 29:6 · Berean Standard Bible

Put the turban on his head and attach the holy diadem to the turban.

Context

4Kisha mlete Aroni na wanawe kwenye lango la Hema la Kukutania na uwaoshe kwa maji. 5Chukua yale mavazi na umvike Aroni koti, joho la kisibau na kisibau chenyewe pamoja na kile kifuko cha kifuani. Mfungie hicho kisibau kwa ule mshipi wa kiunoni uliosukwa kwa ustadi. 6Weka kilemba kichwani mwake na kuweka taji takatifu ishikamane na hicho kilemba. 7Chukua yale mafuta ya upako umimine juu ya kichwa chake. 8Walete wanawe na uwavike makoti,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.