Kutoka 25:39
Exodus 25:39 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Utatumia talanta moja* ya dhahabu safi kutengeneza hicho kinara na vifaa vyake vyote.
Exodus 25:39 in English
Exodus 25:39 · Berean Standard Bible
The lampstand and all these utensils shall be made from a talent of pure gold.*
Context
37“Kisha tengeneza taa zake saba na uziweke juu ya kinara hicho ili ziangaze mbele yake. 38Mikasi ya kusawazishia tambi, pamoja na masinia, zote zitakuwa za dhahabu safi. 39Utatumia talanta moja* ya dhahabu safi kutengeneza hicho kinara na vifaa vyake vyote. 40Hakikisha kuwa umevitengeneza sawasawa na ule mfano ulioonyeshwa kule mlimani.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.