Native Bible

Exodus 25:38 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mikasi ya kusawazishia tambi, pamoja na masinia, zote zitakuwa za dhahabu safi.

Exodus 25:38 in English

Exodus 25:38 · Berean Standard Bible

The wick trimmers and their trays must be of pure gold.

Context

36Matovu na matawi yote yatakuwa kitu kimoja na kile kinara cha taa, yakifuliwa kwa dhahabu safi. 37“Kisha tengeneza taa zake saba na uziweke juu ya kinara hicho ili ziangaze mbele yake. 38Mikasi ya kusawazishia tambi, pamoja na masinia, zote zitakuwa za dhahabu safi. 39Utatumia talanta moja* ya dhahabu safi kutengeneza hicho kinara na vifaa vyake vyote. 40Hakikisha kuwa umevitengeneza sawasawa na ule mfano ulioonyeshwa kule mlimani.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.