Native Bible

Exodus 25:40 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hakikisha kuwa umevitengeneza sawasawa na ule mfano ulioonyeshwa kule mlimani.

Exodus 25:40 in English

Exodus 25:40 · Berean Standard Bible

See to it that you make everything according to the pattern shown you on the mountain.*

Context

38Mikasi ya kusawazishia tambi, pamoja na masinia, zote zitakuwa za dhahabu safi. 39Utatumia talanta moja* ya dhahabu safi kutengeneza hicho kinara na vifaa vyake vyote. 40Hakikisha kuwa umevitengeneza sawasawa na ule mfano ulioonyeshwa kule mlimani.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.