Native Bible

Exodus 25:37 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Kisha tengeneza taa zake saba na uziweke juu ya kinara hicho ili ziangaze mbele yake.

Exodus 25:37 in English

Exodus 25:37 · Berean Standard Bible

Make seven lamps and set them up on the lampstand so that they illuminate the area in front of it.

Context

35Tovu moja litakuwa chini ya jozi ya kwanza ya matawi yaliyotokeza kwenye kinara cha taa, tovu la pili chini ya jozi ya pili, nalo tovu la tatu chini ya jozi ya tatu, yaani matawi sita kwa jumla. 36Matovu na matawi yote yatakuwa kitu kimoja na kile kinara cha taa, yakifuliwa kwa dhahabu safi. 37“Kisha tengeneza taa zake saba na uziweke juu ya kinara hicho ili ziangaze mbele yake. 38Mikasi ya kusawazishia tambi, pamoja na masinia, zote zitakuwa za dhahabu safi. 39Utatumia talanta moja* ya dhahabu safi kutengeneza hicho kinara na vifaa vyake vyote.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.