Native Bible

Exodus 22:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kama ukichukua vazi la jirani kama rehani, ulirudishe kwake kabla jua kuzama,

Exodus 22:26 in English

Exodus 22:26 · Berean Standard Bible

If you take your neighbor’s cloak as collateral, return it to him by sunset,

Context

24Hasira yangu itawaka, nami nitawaua kwa upanga, wake zenu watakuwa wajane na watoto wenu watakuwa yatima. 25“Kama ukimkopesha mmojawapo wa watu wangu fedha ambaye ni mhitaji, usiwe kama mtu mkopesha fedha; usimtoze riba. 26Kama ukichukua vazi la jirani kama rehani, ulirudishe kwake kabla jua kuzama, 27kwa kuwa vazi lake ndilo pekee alilo nalo la kumfunika mwili wake. Ni nini kingine atajifunika nacho? Atakaponililia, nitasikia, kwa kuwa nina huruma. 28“Usimkufuru Mungu au kumlaani mtawala wa watu wako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.