Native Bible

Exodus 22:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hasira yangu itawaka, nami nitawaua kwa upanga, wake zenu watakuwa wajane na watoto wenu watakuwa yatima.

Exodus 22:24 in English

Exodus 22:24 · Berean Standard Bible

My anger will be kindled, and I will kill you with the sword; then your wives will become widows and your children will be fatherless.

Context

22“Usimdhulumu mjane wala yatima. 23Kama ukifanya hivyo nao wakinililia, hakika nitasikia kilio chao. 24Hasira yangu itawaka, nami nitawaua kwa upanga, wake zenu watakuwa wajane na watoto wenu watakuwa yatima. 25“Kama ukimkopesha mmojawapo wa watu wangu fedha ambaye ni mhitaji, usiwe kama mtu mkopesha fedha; usimtoze riba. 26Kama ukichukua vazi la jirani kama rehani, ulirudishe kwake kabla jua kuzama,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.