Kutoka 22:23
Exodus 22:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kama ukifanya hivyo nao wakinililia, hakika nitasikia kilio chao.
Exodus 22:23 in English
Exodus 22:23 · Berean Standard Bible
If you do mistreat them, and they cry out to Me in distress, I will surely hear their cry.
Context
21“Usimtendee mgeni vibaya au kumwonea, kwa kuwa nanyi mlikuwa wageni huko Misri. 22“Usimdhulumu mjane wala yatima. 23Kama ukifanya hivyo nao wakinililia, hakika nitasikia kilio chao. 24Hasira yangu itawaka, nami nitawaua kwa upanga, wake zenu watakuwa wajane na watoto wenu watakuwa yatima. 25“Kama ukimkopesha mmojawapo wa watu wangu fedha ambaye ni mhitaji, usiwe kama mtu mkopesha fedha; usimtoze riba.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.