Native Bible

Exodus 22:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Usimkufuru Mungu au kumlaani mtawala wa watu wako.

Exodus 22:28 in English

Exodus 22:28 · Berean Standard Bible

You must not blaspheme God or curse the ruler of your people.*

Context

26Kama ukichukua vazi la jirani kama rehani, ulirudishe kwake kabla jua kuzama, 27kwa kuwa vazi lake ndilo pekee alilo nalo la kumfunika mwili wake. Ni nini kingine atajifunika nacho? Atakaponililia, nitasikia, kwa kuwa nina huruma. 28“Usimkufuru Mungu au kumlaani mtawala wa watu wako. 29“Usiache kutoa sadaka kutoka ghala lako au mapipa yako. “Lazima unipe mzaliwa wa kwanza wa wana wako. 30Ufanye vivyo hivyo kwa ngʼombe wako na kwa kondoo wako. Waache wakae na mama zao kwa siku saba, lakini siku ya nane unipe.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.