Native Bible

Exodus 21:32 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ikiwa fahali atampiga mtumwa wa kike au wa kiume, mwenye fahali atalipa shekeli thelathini* za fedha kwa bwana mwenye mtumwa, na fahali ni lazima auawe kwa mawe.

Exodus 21:32 in English

Exodus 21:32 · Berean Standard Bible

If the ox gores a manservant or maidservant, the owner must pay thirty shekels of silver * to the master of that servant, and the ox must be stoned.

Context

30Lakini ikiwa malipo yatatakiwa kwake, basi anaweza kulipa kinachodaiwa ili kuukomboa uhai wake. 31Sheria hii pia itatumika ikiwa fahali atampiga kwa pembe mwana au binti. 32Ikiwa fahali atampiga mtumwa wa kike au wa kiume, mwenye fahali atalipa shekeli thelathini* za fedha kwa bwana mwenye mtumwa, na fahali ni lazima auawe kwa mawe. 33“Kama mtu akiacha shimo wazi, ama akachimba shimo kisha asilifukie, na ngʼombe au punda akatumbukia ndani yake, 34mwenye shimo ni lazima alipe hasara iliyotokea; ni lazima amlipe mwenye mnyama. Mnyama aliyekufa atakuwa wake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.