Kutoka 21:31
Exodus 21:31 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Sheria hii pia itatumika ikiwa fahali atampiga kwa pembe mwana au binti.
Exodus 21:31 in English
Exodus 21:31 · Berean Standard Bible
If the ox gores a son or a daughter, it shall be done to him according to the same rule.
Context
29Lakini hata hivyo, ikiwa huyo fahali amekuwa na tabia ya kupiga kwa pembe, na mwenyewe ameonywa na hakutaka kumfungia naye akamuua mwanaume au mwanamke, huyo fahali ni lazima auawe kwa mawe na mwenye fahali pia auawe. 30Lakini ikiwa malipo yatatakiwa kwake, basi anaweza kulipa kinachodaiwa ili kuukomboa uhai wake. 31Sheria hii pia itatumika ikiwa fahali atampiga kwa pembe mwana au binti. 32Ikiwa fahali atampiga mtumwa wa kike au wa kiume, mwenye fahali atalipa shekeli thelathini* za fedha kwa bwana mwenye mtumwa, na fahali ni lazima auawe kwa mawe. 33“Kama mtu akiacha shimo wazi, ama akachimba shimo kisha asilifukie, na ngʼombe au punda akatumbukia ndani yake,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.