Native Bible

Ephesians 4:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mungu mmoja ambaye ni Baba wa wote, aliye juu ya yote, katika yote na ndani ya yote.

Ephesians 4:6 in English

Ephesians 4:6 · Berean Standard Bible

one God and Father of all, who is over all and through all and in all.

Context

4Kuna mwili mmoja na Roho mmoja, kama vile mlivyoitwa katika tumaini moja. 5Tena kuna Bwana mmoja, imani moja, ubatizo mmoja, 6Mungu mmoja ambaye ni Baba wa wote, aliye juu ya yote, katika yote na ndani ya yote. 7Lakini kila mmoja wetu amepewa neema kwa kadiri ya kipimo cha kipawa cha Kristo. 8Kwa hiyo husema: “Alipopaa juu zaidi, * aliteka mateka, akawapa wanadamu vipawa.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.