Native Bible

Ephesians 4:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini kila mmoja wetu amepewa neema kwa kadiri ya kipimo cha kipawa cha Kristo.

Ephesians 4:7 in English

Ephesians 4:7 · Berean Standard Bible

Now to each one of us grace has been given according to the measure of the gift of Christ.

Context

5Tena kuna Bwana mmoja, imani moja, ubatizo mmoja, 6Mungu mmoja ambaye ni Baba wa wote, aliye juu ya yote, katika yote na ndani ya yote. 7Lakini kila mmoja wetu amepewa neema kwa kadiri ya kipimo cha kipawa cha Kristo. 8Kwa hiyo husema: “Alipopaa juu zaidi, * aliteka mateka, akawapa wanadamu vipawa.” 9(Asemapo “alipaa juu,” maana yake nini isipokuwa ni kusema pia kwamba Kristo alishuka pande za chini sana za dunia?*

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.