Native Bible

Ephesians 4:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

(Asemapo “alipaa juu,” maana yake nini isipokuwa ni kusema pia kwamba Kristo alishuka pande za chini sana za dunia?*

Ephesians 4:9 in English

Ephesians 4:9 · Berean Standard Bible

What does “He ascended” mean, except that He also descended * to the lower parts of the earth?

Context

7Lakini kila mmoja wetu amepewa neema kwa kadiri ya kipimo cha kipawa cha Kristo. 8Kwa hiyo husema: “Alipopaa juu zaidi, * aliteka mateka, akawapa wanadamu vipawa.” 9(Asemapo “alipaa juu,” maana yake nini isipokuwa ni kusema pia kwamba Kristo alishuka pande za chini sana za dunia?* 10Yeye aliyeshuka ndiye alipaa juu zaidi kupita mbingu zote, ili apate kuujaza ulimwengu wote.) 11Ndiye aliweka wengine kuwa mitume, wengine kuwa manabii, wengine kuwa wainjilisti, wengine kuwa wachungaji na walimu,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.