Native Bible

Ephesians 4:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Tena kuna Bwana mmoja, imani moja, ubatizo mmoja,

Ephesians 4:5 in English

Ephesians 4:5 · Berean Standard Bible

one Lord, one faith, one baptism;

Context

3Jitahidini kudumisha umoja wa Roho katika kifungo cha amani. 4Kuna mwili mmoja na Roho mmoja, kama vile mlivyoitwa katika tumaini moja. 5Tena kuna Bwana mmoja, imani moja, ubatizo mmoja, 6Mungu mmoja ambaye ni Baba wa wote, aliye juu ya yote, katika yote na ndani ya yote. 7Lakini kila mmoja wetu amepewa neema kwa kadiri ya kipimo cha kipawa cha Kristo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.