Native Bible

Ephesians 4:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Jitahidini kudumisha umoja wa Roho katika kifungo cha amani.

Ephesians 4:3 in English

Ephesians 4:3 · Berean Standard Bible

and with diligence to preserve the unity of the Spirit through the bond of peace.

Context

1Basi, mimi niliye mfungwa wa Bwana, nawasihi mwenende kama inavyostahili wito wenu mlioitiwa. 2Kwa unyenyekevu wote na upole, mkiwa wavumilivu, mkichukuliana kwa upendo. 3Jitahidini kudumisha umoja wa Roho katika kifungo cha amani. 4Kuna mwili mmoja na Roho mmoja, kama vile mlivyoitwa katika tumaini moja. 5Tena kuna Bwana mmoja, imani moja, ubatizo mmoja,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.