Native Bible

Ephesians 4:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa unyenyekevu wote na upole, mkiwa wavumilivu, mkichukuliana kwa upendo.

Ephesians 4:2 in English

Ephesians 4:2 · Berean Standard Bible

with all humility and gentleness, with patience, bearing with one another in love,

Context

1Basi, mimi niliye mfungwa wa Bwana, nawasihi mwenende kama inavyostahili wito wenu mlioitiwa. 2Kwa unyenyekevu wote na upole, mkiwa wavumilivu, mkichukuliana kwa upendo. 3Jitahidini kudumisha umoja wa Roho katika kifungo cha amani. 4Kuna mwili mmoja na Roho mmoja, kama vile mlivyoitwa katika tumaini moja.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.