Mhubiri 7:18
Ecclesiastes 7:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ni vyema kushika hilo moja na wala usiache hilo jingine likupite. Mtu amchaye Mungu ataepuka huko kupita kiasi.*
Ecclesiastes 7:18 in English
Ecclesiastes 7:18 · Berean Standard Bible
It is good to grasp the one and not let the other slip from your hand. For he who fears God will follow both warnings.*
Context
16Usiwe mwenye haki kupita kiasi,
wala usiwe na hekima kupita kiasi:
kwa nini kujiangamiza mwenyewe? 17Usiwe mwovu kupita kiasi,
wala usiwe mpumbavu:
kwa nini kufa kabla ya wakati wako? 18Ni vyema kushika hilo moja
na wala usiache hilo jingine likupite.
Mtu amchaye Mungu ataepuka huko kupita kiasi.* 19Hekima humfanya yeye aliye nayo kuwa na uwezo zaidi
kuliko watawala kumi katika mji. 20Hakuna mtu mwenye haki duniani
ambaye hufanya mambo ya haki
na kamwe asitende dhambi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.