Mhubiri 7:20
Ecclesiastes 7:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hakuna mtu mwenye haki duniani ambaye hufanya mambo ya haki na kamwe asitende dhambi.
Ecclesiastes 7:20 in English
Ecclesiastes 7:20 · Berean Standard Bible
Surely there is no righteous man on earth who does good and never sins.
Context
18Ni vyema kushika hilo moja
na wala usiache hilo jingine likupite.
Mtu amchaye Mungu ataepuka huko kupita kiasi.* 19Hekima humfanya yeye aliye nayo kuwa na uwezo zaidi
kuliko watawala kumi katika mji. 20Hakuna mtu mwenye haki duniani
ambaye hufanya mambo ya haki
na kamwe asitende dhambi. 21Usitie maanani kila neno linalosemwa na watu,
la sivyo, waweza kumsikia
mtumishi wako akikulaani: 22kwa kuwa unafahamu moyoni mwako
kwamba wewe mwenyewe mara nyingi
umewalaani wengine.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.