Native Bible

Ecclesiastes 7:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hekima humfanya yeye aliye nayo kuwa na uwezo zaidi kuliko watawala kumi katika mji.

Ecclesiastes 7:19 in English

Ecclesiastes 7:19 · Berean Standard Bible

Wisdom makes the wise man stronger than ten rulers in a city.

Context

17Usiwe mwovu kupita kiasi, wala usiwe mpumbavu: kwa nini kufa kabla ya wakati wako? 18Ni vyema kushika hilo moja na wala usiache hilo jingine likupite. Mtu amchaye Mungu ataepuka huko kupita kiasi.* 19Hekima humfanya yeye aliye nayo kuwa na uwezo zaidi kuliko watawala kumi katika mji. 20Hakuna mtu mwenye haki duniani ambaye hufanya mambo ya haki na kamwe asitende dhambi. 21Usitie maanani kila neno linalosemwa na watu, la sivyo, waweza kumsikia mtumishi wako akikulaani:

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.