Native Bible

Ecclesiastes 7:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hekima, kama ulivyo urithi, ni kitu chema na huwafaidia wale walionalo jua.

Ecclesiastes 7:11 in English

Ecclesiastes 7:11 · Berean Standard Bible

Wisdom, like an inheritance, is good, and it benefits those who see the sun.

Context

9Usiwe mwepesi kukasirika rohoni mwako, kwa kuwa hasira hukaa kifuani mwa wapumbavu. 10Usiseme, “Kwa nini siku za kale zilikuwa bora kuliko siku hizi?” Kwa maana si hekima kuuliza maswali kama hayo. 11Hekima, kama ulivyo urithi, ni kitu chema na huwafaidia wale walionalo jua. 12Hekima ni ulinzi kama fedha ilivyo ulinzi, lakini faida ya maarifa ni hii: kwamba hekima huhifadhi maisha ya aliye nayo. 13Tafakari kile Mungu alichokitenda: Nani awezaye kunyoosha kile ambacho yeye amekipinda?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.