Mhubiri 7:9
Ecclesiastes 7:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Usiwe mwepesi kukasirika rohoni mwako, kwa kuwa hasira hukaa kifuani mwa wapumbavu.
Ecclesiastes 7:9 in English
Ecclesiastes 7:9 · Berean Standard Bible
Do not be quickly provoked in your spirit, for anger settles in the lap of a fool.*
Context
7Dhuluma humfanya mtu mwenye hekima kuwa mpumbavu,
nayo rushwa huuharibu moyo. 8Mwisho wa jambo ni bora kuliko mwanzo wake,
uvumilivu ni bora kuliko kiburi. 9Usiwe mwepesi kukasirika rohoni mwako,
kwa kuwa hasira hukaa kifuani mwa wapumbavu. 10Usiseme, “Kwa nini siku za kale zilikuwa bora kuliko siku hizi?”
Kwa maana si hekima kuuliza maswali kama hayo. 11Hekima, kama ulivyo urithi, ni kitu chema
na huwafaidia wale walionalo jua.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.