Native Bible

Ecclesiastes 4:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mpumbavu hukunja mikono yake na kujiangamiza mwenyewe.

Ecclesiastes 4:5 in English

Ecclesiastes 4:5 · Berean Standard Bible

The fool folds his hands and consumes his own flesh.

Context

3Lakini aliye bora kuliko hao wawili ni yule ambaye hajazaliwa bado, ambaye hajaona ule uovu unaofanyika chini ya jua. 4Tena nikaona kuwa kazi zote na mafanikio yote huchipuka kutokana na wivu wa mtu kwa jirani yake. Hili nalo ni ubatili, ni kukimbiza upepo. 5Mpumbavu hukunja mikono yake na kujiangamiza mwenyewe. 6Afadhali konzi moja pamoja na utulivu kuliko konzi mbili pamoja na taabu na kukimbiza upepo. 7Tena nikaona kitu kingine kilicho ubatili chini ya jua:

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.