Native Bible

Ecclesiastes 4:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Tena nikaona kitu kingine kilicho ubatili chini ya jua:

Ecclesiastes 4:7 in English

Ecclesiastes 4:7 · Berean Standard Bible

Again, I saw futility under the sun.

Context

5Mpumbavu hukunja mikono yake na kujiangamiza mwenyewe. 6Afadhali konzi moja pamoja na utulivu kuliko konzi mbili pamoja na taabu na kukimbiza upepo. 7Tena nikaona kitu kingine kilicho ubatili chini ya jua: 8Kulikuwepo mwanadamu aliye peke yake, hakuwa na mwana wala ndugu. Hapakuwa na mwisho wa kazi yake, hata hivyo macho yake hayakutosheka na utajiri wake. Aliuliza, “Ninajitaabisha hivi kwa ajili ya nani, nami kwa nini ninajinyima kufurahia?” Hili pia ni ubatili, ni shughuli yenye taabu! 9Wawili ni afadhali kuliko mmoja, kwa sababu wana malipo mazuri kwa kazi yao:

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.