Native Bible

Ecclesiastes 1:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mwanadamu anafaidi nini kutokana na kazi yake yote anayotaabikia chini ya jua?

Ecclesiastes 1:3 in English

Ecclesiastes 1:3 · Berean Standard Bible

What does a man gain from all his labor, at which he toils under the sun?

Context

1Maneno ya Mhubiri, mwana wa Daudi, mfalme huko Yerusalemu: 2“Ubatili mtupu! Ubatili mtupu!” Mhubiri anasema. “Ubatili mtupu! Kila kitu ni ubatili.” 3Mwanadamu anafaidi nini kutokana na kazi yake yote anayotaabikia chini ya jua? 4Vizazi huja na vizazi hupita, lakini dunia inadumu milele. 5Jua huchomoza na jua huzama, nalo huharakisha kurudi mawioni.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.