Native Bible

Ecclesiastes 1:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mimi, Mhubiri, nilikuwa mfalme wa Israeli katika Yerusalemu.

Ecclesiastes 1:12 in English

Ecclesiastes 1:12 · Berean Standard Bible

I, the Teacher, was king over Israel in Jerusalem.

Context

10Kuna kitu chochote ambacho mtu anaweza kusema, “Tazama! Kitu hiki ni kipya”? Kilikuwepo tangu zamani za kale, kilikuwepo kabla ya wakati wetu. 11Hakuna kumbukumbu ya watu wa zamani, hata na wale ambao hawajaja bado hawatakumbukwa na wale watakaofuata baadaye. 12Mimi, Mhubiri, nilikuwa mfalme wa Israeli katika Yerusalemu. 13Nilitumia muda wangu wote kujifunza na kuvumbua kwa hekima yote yanayofanyika chini ya mbingu. Jinsi gani Mungu ameweka mzigo mzito juu ya wanadamu! 14Nimeshaona mambo yote yanayotendeka chini ya jua, hayo yote ni ubatili, hii ni kukimbiza upepo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.