Native Bible

Ecclesiastes 1:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nimeshaona mambo yote yanayotendeka chini ya jua, hayo yote ni ubatili, hii ni kukimbiza upepo.

Ecclesiastes 1:14 in English

Ecclesiastes 1:14 · Berean Standard Bible

I have seen all the things that are done under the sun, and have found them all to be futile, a pursuit of the wind.

Context

12Mimi, Mhubiri, nilikuwa mfalme wa Israeli katika Yerusalemu. 13Nilitumia muda wangu wote kujifunza na kuvumbua kwa hekima yote yanayofanyika chini ya mbingu. Jinsi gani Mungu ameweka mzigo mzito juu ya wanadamu! 14Nimeshaona mambo yote yanayotendeka chini ya jua, hayo yote ni ubatili, hii ni kukimbiza upepo. 15Kilichopindika hakiwezi kunyooshwa, kile ambacho hakipo haiwezekani kukihesabu. 16Niliwaza mwenyewe, “Tazama, nimekua na kuongezeka katika hekima kuliko yeyote aliyewahi kutawala Yerusalemu kabla yangu. Nimekuwa na uzoefu mkubwa wa hekima na maarifa.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.