Mhubiri 1:13
Ecclesiastes 1:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nilitumia muda wangu wote kujifunza na kuvumbua kwa hekima yote yanayofanyika chini ya mbingu. Jinsi gani Mungu ameweka mzigo mzito juu ya wanadamu!
Ecclesiastes 1:13 in English
Ecclesiastes 1:13 · Berean Standard Bible
And I set my mind to seek and explore by wisdom all that is done under heaven. What a heavy burden God has laid upon the sons of men to occupy them!
Context
11Hakuna kumbukumbu ya watu wa zamani,
hata na wale ambao hawajaja bado
hawatakumbukwa
na wale watakaofuata baadaye. 12Mimi, Mhubiri, nilikuwa mfalme wa Israeli katika Yerusalemu. 13Nilitumia muda wangu wote kujifunza na kuvumbua kwa hekima yote yanayofanyika chini ya mbingu. Jinsi gani Mungu ameweka mzigo mzito juu ya wanadamu! 14Nimeshaona mambo yote yanayotendeka chini ya jua, hayo yote ni ubatili, hii ni kukimbiza upepo. 15Kilichopindika hakiwezi kunyooshwa,
kile ambacho hakipo haiwezekani kukihesabu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.