Native Bible

Ecclesiastes 1:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kilichopindika hakiwezi kunyooshwa, kile ambacho hakipo haiwezekani kukihesabu.

Ecclesiastes 1:15 in English

Ecclesiastes 1:15 · Berean Standard Bible

What is crooked cannot be straightened, and what is lacking cannot be counted.

Context

13Nilitumia muda wangu wote kujifunza na kuvumbua kwa hekima yote yanayofanyika chini ya mbingu. Jinsi gani Mungu ameweka mzigo mzito juu ya wanadamu! 14Nimeshaona mambo yote yanayotendeka chini ya jua, hayo yote ni ubatili, hii ni kukimbiza upepo. 15Kilichopindika hakiwezi kunyooshwa, kile ambacho hakipo haiwezekani kukihesabu. 16Niliwaza mwenyewe, “Tazama, nimekua na kuongezeka katika hekima kuliko yeyote aliyewahi kutawala Yerusalemu kabla yangu. Nimekuwa na uzoefu mkubwa wa hekima na maarifa.” 17Ndipo nilipojitahidi kufahamu kutofautisha hekima, wazimu na upumbavu, lakini nikatambua hata hili nalo ni kukimbiza upepo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.