Native Bible

Ecclesiastes 1:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ndipo nilipojitahidi kufahamu kutofautisha hekima, wazimu na upumbavu, lakini nikatambua hata hili nalo ni kukimbiza upepo.

Ecclesiastes 1:17 in English

Ecclesiastes 1:17 · Berean Standard Bible

So I set my mind to know wisdom and madness and folly; I learned that this, too, is a pursuit of the wind.

Context

15Kilichopindika hakiwezi kunyooshwa, kile ambacho hakipo haiwezekani kukihesabu. 16Niliwaza mwenyewe, “Tazama, nimekua na kuongezeka katika hekima kuliko yeyote aliyewahi kutawala Yerusalemu kabla yangu. Nimekuwa na uzoefu mkubwa wa hekima na maarifa.” 17Ndipo nilipojitahidi kufahamu kutofautisha hekima, wazimu na upumbavu, lakini nikatambua hata hili nalo ni kukimbiza upepo. 18Kwa kuwa hekima nyingi huleta huzuni kubwa; maarifa yanapoongezeka, masikitiko yanaongezeka.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.