Kumbukumbu 8:6
Deuteronomy 8:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Shikeni maagizo ya Bwana Mungu wenu mtembee katika njia zake na kumheshimu.
Deuteronomy 8:6 in English
Deuteronomy 8:6 · Berean Standard Bible
Therefore you shall keep the commandments of the LORD your God, walking in His ways and fearing Him.
Context
4Nguo zenu hazikuchakaa wala miguu yenu haikuvimba kwa miaka hii arobaini. 5Mjue basi ndani ya mioyo yenu kama mtu anavyomwadibisha mwanawe, ndivyo Bwana Mungu wako atawaadibisha ninyi. 6Shikeni maagizo ya Bwana Mungu wenu mtembee katika njia zake na kumheshimu. 7Kwa kuwa Bwana Mungu wenu anawaleta katika nchi nzuri, nchi yenye vijito na mabwawa ya maji, yenye chemchemi zinazotiririka mabondeni na katika vilima; 8nchi yenye ngano na shayiri, mizabibu na mitini, mikomamanga, mafuta ya zeituni na asali;
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.