Native Bible

Deuteronomy 8:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mjue basi ndani ya mioyo yenu kama mtu anavyomwadibisha mwanawe, ndivyo Bwana Mungu wako atawaadibisha ninyi.

Deuteronomy 8:5 in English

Deuteronomy 8:5 · Berean Standard Bible

So know in your heart that just as a man disciplines his son, so the LORD your God disciplines you.

Context

3Alikudhili na kukufanya uone njaa kisha akulishe kwa mana, ambayo wewe wala baba zako hamkuijua, awafundishe kuwa mwanadamu hataishi kwa mkate tu bali kwa kila neno litokalo katika kinywa cha Bwana. 4Nguo zenu hazikuchakaa wala miguu yenu haikuvimba kwa miaka hii arobaini. 5Mjue basi ndani ya mioyo yenu kama mtu anavyomwadibisha mwanawe, ndivyo Bwana Mungu wako atawaadibisha ninyi. 6Shikeni maagizo ya Bwana Mungu wenu mtembee katika njia zake na kumheshimu. 7Kwa kuwa Bwana Mungu wenu anawaleta katika nchi nzuri, nchi yenye vijito na mabwawa ya maji, yenye chemchemi zinazotiririka mabondeni na katika vilima;

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.