Native Bible

Deuteronomy 6:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa nguvu zako zote.

Deuteronomy 6:5 in English

Deuteronomy 6:5 · Berean Standard Bible

And you shall love the LORD your God with all your heart and with all your soul and with all your strength.*

Context

3Sikia, ee Israeli, nawe uwe mwangalifu kutii ili upate kufanikiwa na kuongezeka sana katika nchi itiririkayo maziwa na asali, kama Bwana, Mungu wa baba zenu, alivyowaahidi ninyi. 4Sikia, ee Israeli: Bwana Mungu wako, Bwana ni mmoja. 5Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa nguvu zako zote. 6Amri hizi ninazokupa leo zitakuwa katika moyo wako. 7Wafundishe watoto wako kwa bidii. Nena kuhusu amri hizi uketipo nyumbani na wakati utembeapo njiani, ulalapo na uamkapo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.