Native Bible

Deuteronomy 6:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Sikia, ee Israeli: Bwana Mungu wako, Bwana ni mmoja.

Deuteronomy 6:4 in English

Deuteronomy 6:4 · Berean Standard Bible

Hear, O Israel: The LORD our God, the LORD is One.*

Context

2ili kwamba ninyi, watoto wenu na watoto wao baada yao wamche Bwana Mungu wenu siku zote kwa kushika amri na maagizo yake yote ninayowapa, ili mweze kuyafurahia maisha marefu. 3Sikia, ee Israeli, nawe uwe mwangalifu kutii ili upate kufanikiwa na kuongezeka sana katika nchi itiririkayo maziwa na asali, kama Bwana, Mungu wa baba zenu, alivyowaahidi ninyi. 4Sikia, ee Israeli: Bwana Mungu wako, Bwana ni mmoja. 5Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa nguvu zako zote. 6Amri hizi ninazokupa leo zitakuwa katika moyo wako.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.