Kumbukumbu 6:7
Deuteronomy 6:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wafundishe watoto wako kwa bidii. Nena kuhusu amri hizi uketipo nyumbani na wakati utembeapo njiani, ulalapo na uamkapo.
Deuteronomy 6:7 in English
Deuteronomy 6:7 · Berean Standard Bible
And you shall teach them diligently to your children and speak of them when you sit at home and when you walk along the road, when you lie down and when you get up.
Context
5Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa nguvu zako zote. 6Amri hizi ninazokupa leo zitakuwa katika moyo wako. 7Wafundishe watoto wako kwa bidii. Nena kuhusu amri hizi uketipo nyumbani na wakati utembeapo njiani, ulalapo na uamkapo. 8Zifunge kama alama juu ya mkono wako, na uzifunge juu ya paji la uso wako. 9Ziandike kwenye miimo ya milango ya nyumba yako na juu ya malango yako.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.