Kumbukumbu 6:9
Deuteronomy 6:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ziandike kwenye miimo ya milango ya nyumba yako na juu ya malango yako.
Deuteronomy 6:9 in English
Deuteronomy 6:9 · Berean Standard Bible
Write them on the doorposts of your houses and on your gates.
Context
7Wafundishe watoto wako kwa bidii. Nena kuhusu amri hizi uketipo nyumbani na wakati utembeapo njiani, ulalapo na uamkapo. 8Zifunge kama alama juu ya mkono wako, na uzifunge juu ya paji la uso wako. 9Ziandike kwenye miimo ya milango ya nyumba yako na juu ya malango yako. 10Wakati Bwana Mungu wako atakapokuleta katika nchi aliyowaapia baba zako, Abrahamu, Isaki na Yakobo, kukupa wewe, nchi kubwa, ina miji inayopendeza ambayo hukuijenga, 11nyumba zilizojaa vitu vizuri vya aina nyingi ambavyo hukuvijaza, visima ambavyo hukuchimba, na mashamba ya mizabibu na mizeituni ambayo hukupanda wewe, basi, utakapokula na kushiba,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.