Kumbukumbu 6:8
Deuteronomy 6:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Zifunge kama alama juu ya mkono wako, na uzifunge juu ya paji la uso wako.
Deuteronomy 6:8 in English
Deuteronomy 6:8 · Berean Standard Bible
Tie them as reminders on your hands and bind them on your foreheads.
Context
6Amri hizi ninazokupa leo zitakuwa katika moyo wako. 7Wafundishe watoto wako kwa bidii. Nena kuhusu amri hizi uketipo nyumbani na wakati utembeapo njiani, ulalapo na uamkapo. 8Zifunge kama alama juu ya mkono wako, na uzifunge juu ya paji la uso wako. 9Ziandike kwenye miimo ya milango ya nyumba yako na juu ya malango yako. 10Wakati Bwana Mungu wako atakapokuleta katika nchi aliyowaapia baba zako, Abrahamu, Isaki na Yakobo, kukupa wewe, nchi kubwa, ina miji inayopendeza ambayo hukuijenga,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.