Native Bible

Deuteronomy 6:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Utamcha Bwana Mungu wako, na umtumikie yeye peke yake na kuapa kwa jina lake.

Deuteronomy 6:13 in English

Deuteronomy 6:13 · Berean Standard Bible

Fear the LORD your God, serve Him only, and take your oaths in His name.*

Context

11nyumba zilizojaa vitu vizuri vya aina nyingi ambavyo hukuvijaza, visima ambavyo hukuchimba, na mashamba ya mizabibu na mizeituni ambayo hukupanda wewe, basi, utakapokula na kushiba, 12jihadhari usije ukamwacha Bwana, aliyekutoa katika nchi ya Misri, kutoka nchi ya utumwa. 13Utamcha Bwana Mungu wako, na umtumikie yeye peke yake na kuapa kwa jina lake. 14Usifuate miungu mingine, miungu ya mataifa yanayokuzunguka; 15kwa kuwa Bwana Mungu wako, ambaye yuko katikati yako, ni Mungu mwenye wivu na hasira yake itawaka dhidi yako, naye atakuangamiza kutoka uso wa nchi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.