Kumbukumbu 6:14
Deuteronomy 6:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Usifuate miungu mingine, miungu ya mataifa yanayokuzunguka;
Deuteronomy 6:14 in English
Deuteronomy 6:14 · Berean Standard Bible
Do not follow other gods, the gods of the peoples around you.
Context
12jihadhari usije ukamwacha Bwana, aliyekutoa katika nchi ya Misri, kutoka nchi ya utumwa. 13Utamcha Bwana Mungu wako, na umtumikie yeye peke yake na kuapa kwa jina lake. 14Usifuate miungu mingine, miungu ya mataifa yanayokuzunguka; 15kwa kuwa Bwana Mungu wako, ambaye yuko katikati yako, ni Mungu mwenye wivu na hasira yake itawaka dhidi yako, naye atakuangamiza kutoka uso wa nchi. 16Usimjaribu Bwana Mungu wako kama ulivyofanya huko Masa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.