Kumbukumbu 6:15
Deuteronomy 6:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
kwa kuwa Bwana Mungu wako, ambaye yuko katikati yako, ni Mungu mwenye wivu na hasira yake itawaka dhidi yako, naye atakuangamiza kutoka uso wa nchi.
Deuteronomy 6:15 in English
Deuteronomy 6:15 · Berean Standard Bible
For the LORD your God, who is among you, is a jealous God. Otherwise the anger of the LORD your God will be kindled against you, and He will wipe you off the face of the earth.
Context
13Utamcha Bwana Mungu wako, na umtumikie yeye peke yake na kuapa kwa jina lake. 14Usifuate miungu mingine, miungu ya mataifa yanayokuzunguka; 15kwa kuwa Bwana Mungu wako, ambaye yuko katikati yako, ni Mungu mwenye wivu na hasira yake itawaka dhidi yako, naye atakuangamiza kutoka uso wa nchi. 16Usimjaribu Bwana Mungu wako kama ulivyofanya huko Masa. 17Utayashika maagizo ya Bwana Mungu wako kwa bidii, na masharti na amri alizokupa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.