Native Bible

Deuteronomy 6:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Utayashika maagizo ya Bwana Mungu wako kwa bidii, na masharti na amri alizokupa.

Deuteronomy 6:17 in English

Deuteronomy 6:17 · Berean Standard Bible

You are to diligently keep the commandments of the LORD your God and the testimonies and statutes He has given you.

Context

15kwa kuwa Bwana Mungu wako, ambaye yuko katikati yako, ni Mungu mwenye wivu na hasira yake itawaka dhidi yako, naye atakuangamiza kutoka uso wa nchi. 16Usimjaribu Bwana Mungu wako kama ulivyofanya huko Masa. 17Utayashika maagizo ya Bwana Mungu wako kwa bidii, na masharti na amri alizokupa. 18Fanya lililo haki na jema mbele za Bwana, ili upate kufanikiwa, uweze kuingia na kuimiliki nchi nzuri ambayo Bwana aliahidi kwa kiapo kwa baba zako, 19kuwafukuza kwa nguvu adui zako mbele yako kama Bwana alivyosema.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.