Kumbukumbu 6:19
Deuteronomy 6:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
kuwafukuza kwa nguvu adui zako mbele yako kama Bwana alivyosema.
Deuteronomy 6:19 in English
Deuteronomy 6:19 · Berean Standard Bible
driving out all your enemies before you, as the LORD has said.
Context
17Utayashika maagizo ya Bwana Mungu wako kwa bidii, na masharti na amri alizokupa. 18Fanya lililo haki na jema mbele za Bwana, ili upate kufanikiwa, uweze kuingia na kuimiliki nchi nzuri ambayo Bwana aliahidi kwa kiapo kwa baba zako, 19kuwafukuza kwa nguvu adui zako mbele yako kama Bwana alivyosema. 20Siku zijazo, mtoto wako atakapokuuliza, “Ni nini maana ya masharti haya, amri na sheria hizi ambazo Bwana Mungu wako alikuagiza wewe?” 21Mwambie: “Tulikuwa watumwa wa Farao huko Misri, lakini Bwana alitutoa sisi kutoka Misri kwa mkono wenye nguvu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.