Kumbukumbu 6:18
Deuteronomy 6:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Fanya lililo haki na jema mbele za Bwana, ili upate kufanikiwa, uweze kuingia na kuimiliki nchi nzuri ambayo Bwana aliahidi kwa kiapo kwa baba zako,
Deuteronomy 6:18 in English
Deuteronomy 6:18 · Berean Standard Bible
Do what is right and good in the sight of the LORD, so that it may be well with you and that you may enter and possess the good land that the LORD your God swore to give your fathers,
Context
16Usimjaribu Bwana Mungu wako kama ulivyofanya huko Masa. 17Utayashika maagizo ya Bwana Mungu wako kwa bidii, na masharti na amri alizokupa. 18Fanya lililo haki na jema mbele za Bwana, ili upate kufanikiwa, uweze kuingia na kuimiliki nchi nzuri ambayo Bwana aliahidi kwa kiapo kwa baba zako, 19kuwafukuza kwa nguvu adui zako mbele yako kama Bwana alivyosema. 20Siku zijazo, mtoto wako atakapokuuliza, “Ni nini maana ya masharti haya, amri na sheria hizi ambazo Bwana Mungu wako alikuagiza wewe?”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.