Kumbukumbu 32:18
Deuteronomy 32:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mkamwacha Mwamba, aliyewazaa ninyi; mkamsahau Mungu aliyewazaa.
Deuteronomy 32:18 in English
Deuteronomy 32:18 · Berean Standard Bible
You ignored the Rock who brought you forth; you forgot the God who gave you birth.
Context
16Wakamfanya Mungu kuwa na wivu kwa miungu yao migeni,
na kumkasirisha kwa sanamu zao
za machukizo. 17Wakatoa dhabihu kwa pepo, ambao si Mungu:
miungu wasiyoijua,
miungu iliyojitokeza siku za karibuni,
miungu ambayo baba zenu hawakuiogopa. 18Mkamwacha Mwamba, aliyewazaa ninyi;
mkamsahau Mungu aliyewazaa. 19Bwana akaona hili, akawakataa,
kwa sababu alikasirishwa
na wanawe na binti zake. 20Akasema, “Nitawaficha uso wangu,
nami nione mwisho wao utakuwa nini,
kwa kuwa wao ni kizazi kilichopotoka,
watoto ambao si waaminifu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.